Day to Day Tasks

Inbound Call Opening Script
1. How to Open Call:  Asante kwa kupiga simu Komaza, jina langu ni ( ). Naweza kusaidiaje leo?  2. Information to Always Take from Caller First (if ...
Mon, 12 Sep, 2022 at 1:03 PM
Inbound Call Closing Script
1. How to Close Inbound Call:  Asante tena kwa kupiga simu Komaza, uko na swali nyingine? Kama huna swali au jambo lingine, kuwa na siku njema. 
Mon, 12 Sep, 2022 at 1:05 PM
Outbound Call Opening Script
Open Call:  Habari yako? Jina langu ni ( ) nakupigia simu kutoka Komaza call center.  Naongea na  (name of person you are calling)? Uko na mda k...
Thu, 12 Jan, 2023 at 11:09 AM
Outbound Call Closing Script
Close Call:  Asante kwa kupokea simu yangu, uwe na siku njema. 
Mon, 12 Sep, 2022 at 1:10 PM
Call Holding Script
Before Holding:  (Farmer Name) naomba usubiri kidogo kwenye laini yako ya simu ili niweze kukushugulikia swala lako. After Holding:  (Farmer Nam...
Mon, 12 Sep, 2022 at 1:12 PM
Call Transfer Script
Before Transfer:  (Farmer Name) naomba kukuunganisha na ajenti mwenzangu anaitwa ( ) ili aweze kupa usaidizi zaidi kuhusu swala lako.  Tafadhali s...
Mon, 12 Sep, 2022 at 1:14 PM